Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna haja ya kubebwa, Brazil inao uwezo wa kufika fainali bila kubebwa. Go go Brazil, kombe ni letu hawa wengine ni wasindikzaji tu, 'si unajua ndugu yangu katika msafara wa mamba na kenge wapo' (Mashishanga, 2005).
...
subs
vicent enyama(nigeria)
thomas varmelen(germany)
jonathan mensah(ghana)
marcelo(brazil)
lionel messi(argentina)
alexis sanchez(chile)
mesuti ozil(germany)
robin van persie(holland)
poulhinho(brazil)
Mkuu upo sahihi kabisa hawa jamaa ni wazalendo.. Ukiishi Africa ni tatizo.. Mwafrica ametaliwa na ubinafsi, ujinga na tamaa..!!Colombia na Chile nilitamani ziwe timu kutoka Africa..hawa watoto wanajituma
sana na hawana ubishoo wa kitoto kama timu za Kiafrica. Binafsi nasema hizi
timu zimeonyesha mfano wa kuigwa....
Colombia ndio wamebaki nitawashangilia kwa nguvu zangu zote mpaka mwisho
lakini Chile walikufa kiume hongereni sana ninaamini tutakutana tena 2018 kule
URUSI (rassia 2018) kombe jingine la Dunia.
Hizi nilitamani zitoke Africa, wana uzalendo mkubwa sana kwa nchi zao...
Mandla,
Wa Dodoma.
Sawa ndugu, kujifariji ni haki yako ila ukweli unabaki palepale kua brazil ya mwaka huu haina uwezo kama ile ya mwaka 1998 au 2002 achilia mbali 2006 na 2010 ilipoanza kuyumba hatimaye kupotea kabisa.
Kubali kataa brazil itabebwa hadi kufika fainali kwa sababu ya uenyeji plus chokochoko za kisiasa nchini humo lakini haitatwaa taji.
Kati ya timu iliyoniuma kutoka ni USA kwani waliwekeza sana kwenye Mpira na hata kwenye hii wedi kapu wao walikuwa watu wa pili kwa kununua tiketi na hii yote kwa sababu waliamini timu yao.
Najua 2018 watafika mbali sana
Skype mwambie huyu jamaa aliyetuletea hii list yake ya kishetani pls maana mm kwa hasira hata kumuambia nimepata hasira!Hapana mkuu, siko tayari kuiunga mkono marekani wala ubelgiji wala brazuu wala udachi. Mimi nimebaki na Colombia na Argentina tu, tukutane robo fainali panapo majaliwa.
Sema basi hizo kilo 20 zinatufikiaje? Ujue nimejitolea kuwa refa
Ben Arfa (Tunisia) - France
Paul Pogba (Guinea) - France
Karim Benzema (Algeria) - France
Samir Nasri (Algeria) - France
Govou (Benin) - France
Zinedine Zidane (Algeria) - France Luis Nani (Cape Verde) - Portugal
Christian Benteke (DRC) -
Belgium
Jerome Boateng (Ghana) -
Germany David Alaba (Nigeria) - Austria
Oguchi Onyewu (Nigeria) - USA Angelo Ogbonna (Nigeria) - Italy
Dennis Aogo (Nigeria) - Germany
Okaka Chuka (Nigeria) - Italy
Gabriel Agbonlahor (Nigeria) - Scotland
Patrick Owemoyela (Nigeria) -
Germany Nedum Onuoah (Nigeria) -
England
Patrick Vieira (Senegal) - France Mousa Dembele
(Mali) - Belgium
Romelo Lukaku (DRC) - Belgium
Sami Khedira (Tunisia) - Germany Vincent Kompany (Congo) -
Belgium
Danny Welbeck (Ghana) - England
Mario Balotelli (Ghana) - Italy
Mamadou Sakho (Guinea) -
France Bacary Sagna (Senegal) - France
Patrice Evra (Guinea) - France El Shaarawy
(Egypt) - Italy
Dirick Origi (Kenya) - Belgium
Ramires Makukula (Swaziland) -Brazil... Ongeza wa kwako niliemsahau
Ben Arfa (Tunisia) - France
Paul Pogba (Guinea) - France
Karim Benzema (Algeria) - France
Samir Nasri (Algeria) - France
Govou (Benin) - France
Zinedine Zidane (Algeria) - France Luis Nani (Cape Verde) - Portugal
Christian Benteke (DRC) -
Belgium
Jerome Boateng (Ghana) -
Germany David Alaba (Nigeria) - Austria
Oguchi Onyewu (Nigeria) - USA Angelo Ogbonna (Nigeria) - Italy
Dennis Aogo (Nigeria) - Germany
Okaka Chuka (Nigeria) - Italy
Gabriel Agbonlahor (Nigeria) - Scotland
Patrick Owemoyela (Nigeria) -
Germany Nedum Onuoah (Nigeria) -
England
Patrick Vieira (Senegal) - France Mousa Dembele
(Mali) - Belgium
Romelo Lukaku (DRC) - Belgium
Sami Khedira (Tunisia) - Germany Vincent Kompany (Congo) -
Belgium
Danny Welbeck (Ghana) - England
Mario Balotelli (Ghana) - Italy
Mamadou Sakho (Guinea) -
France Bacary Sagna (Senegal) - France
Patrice Evra (Guinea) - France El Shaarawy
(Egypt) - Italy
Dirick Origi (Kenya) - Belgium
Ramires Makukula (Swaziland) -Brazil... Ongeza wa kwako niliemsahau
Ben Arfa (Tunisia) - France
Paul Pogba (Guinea) - France
Karim Benzema (Algeria) - France
Samir Nasri (Algeria) - France
Govou (Benin) - France
Zinedine Zidane (Algeria) - France Luis Nani (Cape Verde) - Portugal
Christian Benteke (DRC) -
Belgium
Jerome Boateng (Ghana) -
Germany David Alaba (Nigeria) - Austria
Oguchi Onyewu (Nigeria) - USA Angelo Ogbonna (Nigeria) - Italy
Dennis Aogo (Nigeria) - Germany
Okaka Chuka (Nigeria) - Italy
Gabriel Agbonlahor (Nigeria) - Scotland
Patrick Owemoyela (Nigeria) -
Germany Nedum Onuoah (Nigeria) -
England
Patrick Vieira (Senegal) - France Mousa Dembele
(Mali) - Belgium
Romelo Lukaku (DRC) - Belgium
Sami Khedira (Tunisia) - Germany Vincent Kompany (Congo) -
Belgium
Danny Welbeck (Ghana) - England
Mario Balotelli (Ghana) - Italy
Mamadou Sakho (Guinea) -
France Bacary Sagna (Senegal) - France
Patrice Evra (Guinea) - France El Shaarawy
(Egypt) - Italy
Dirick Origi (Kenya) - Belgium
Ramires Makukula (Swaziland) -Brazil... Ongeza wa kwako niliemsahau
Patrice Evra alizaliwa Senegal, nadhani atakuwa na uhusiano mkubwa na Senegal kuliko Guinea na Cape Verde au sio?... Sijawahi kusikia uhusiano wowote ule wa Ramires na Africa other than color of skin, naomba unieleweshe mkuu. Kama Africa ingekuwa inaweza kutoa timu moja na hao wote wakaruhusiwa kuchezea #TeamAfrica (hata katika exhibition only) pangekuwa na raha fulani, japo sijui kama wangefanya vizuri, maana Waafrika kila mtu anajifanyaga anajua kuliko mwenzake hatuwezi kukubaliana.
Ina maana dunia nzima inabebwa na Africa.!!
Mkuu!
Yupo wapi mtaalam Nacer Chadli(Morocco)-Belgium???
Haha ngoja nikutie moyo mdau hata mimi #team brazil#ila hapo kwenye BAN hayo yako sasa