World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Siku iliyokua ikisubiriwa kwa hamu kubwa imefika, leo ni leo, zimebaki saa chache tushuhudie brazil wakigeuzwa kuwa watazamaji, yaani leo ndio mwisho wao kushiriki wc hadi 2018 na pengine wasifuzu maana hawatapita ktk harakati za kuwania nafasi ya kushiriki. Colombia hoyeee! Leo Julio Cesar kazi anayo.
 

Mwenyeji ni mwenyeji tu, brazil anapita na atashinda kwa uwazi mkuu.
 
Mwenyeji ni mwenyeji tu, brazil anapita na atashinda kwa uwazi mkuu.

Ruksa kujifariji na kufarijiwa na kama refa akiwa refa kweli basi leo brazil bye bye, till the next tournaments.
 
Malafyale kiukweli ningekukaribisha mno na tunavyopenda wagen na misosi acha sema siko dar
 
Last edited by a moderator:
Ruksa kujifariji na kufarijiwa na kama refa akiwa refa kweli basi leo brazil bye bye, till the next tournaments.

Kaka wabrasil kuwatoa sio kaz rahis kama unavyohis..wale jamaa Wana spirit ya ajabu sana..watacheza kawaida ila sidhan kama wataaga leo kaka
 
Ruksa kujifariji na kufarijiwa na kama refa akiwa refa kweli basi leo brazil bye bye, till the next tournaments.

Mkuu napenda kukupa ukweli
1. France anashinda
2. Brazil anashinda

Usipate shida, nikweli colombia wazuri lakin ubavu kuwafunga brazil hawana.
 

Casilas??!!
Zaidi ya hilo niko pamoja na wewe, ungaunga za Brazil leo zinafikia kikomo chake halafu kale kajamaa wanakategemea sana, Naima, ana majeraha lakini ndio anategemewa kuibeba nchi yake tena, mkata umeme wao Luis Gustavo anatumikia adhabu, leo kama David Luiz hajachezeshwa kiungo sijui!!
#TeamColombia
 
Jamaa mzuri sana hata nashangaa kwanini L'pool inataka kumuuza hasa ukitilia maanani ubingwa wa EPL umewapiga chenga kwa miaka mingi sasa. Mie naamini kama watakuwa na Suarez msimu ujao L'pool itakuwa timu yenye nafasi nzuri kuutwaa ubingwa wa EPL kuliko ukilinganisha na timu yoyote ile. Pamoja na matatizo yake timu nyingi zipo tayari kutake risk ya kuwa naye.

Kuna team inamtaka pamoja na fujo zake zote hizi?
 

Wewe asa una ndoto mbaya
 
Tutashuhudia vizuri watakavotolewa colombia na wenzao france wakifuatiliwa
 
adolay soma tena na tena utaelewa
 
Last edited by a moderator:

nikusalimie ndugu. pole na pilika za hapa na pale. Kwa mbali naiona safari ya Brazil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…