Kuna team inamtaka pamoja na fujo zake zote hizi?
kuna watu wana roho ngumu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna team inamtaka pamoja na fujo zake zote hizi?
kuna watu wana roho ngumu sana.
Siku iliyokua ikisubiriwa kwa hamu kubwa imefika, leo ni leo, zimebaki saa chache tushuhudie brazil wakigeuzwa kuwa watazamaji, yaani leo ndio mwisho wao kushiriki wc hadi 2018 na pengine wasifuzu maana hawatapita ktk harakati za kuwania nafasi ya kushiriki. Colombia hoyeee! Leo Casilas kazi anayo.
Mwenyeji ni mwenyeji tu, brazil anapita na atashinda kwa uwazi mkuu.
Ruksa kujifariji na kufarijiwa na kama refa akiwa refa kweli basi leo brazil bye bye, till the next tournaments.

mie france na germany
#teamgerman for real