World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mimi ninazungumzia wakoloni wetu, waliotutawala Tanganyika .

Na katika hii mechi kuna mmoja tuu ndiye aliyetutawala

Na ndie atakayeshinda hii mechi {Weka kumbukumbu hii post}

exhibition 1: Umevaa jezi ya Ozil.

QUOTE=DonDonald;9980031]Hahaha umeshaanza kuwakana wenzako?

Yes kazi imeshaanza, wakoloni bana[/QUOTE]

exhibition 2: Umevaa jezi ya Podoski.

#Team3Lions mnajenga timu kama vile Serikali ilivyo na mpango wa kuhamisha makao makuu from Dar to Dodoma.
 
ufaransa kiungo kimekufa . hawawezi kuendelea kutegea mipira mirefu kupata goli
 
bado lilelile

Aaagh! Kwa nini hawa Germany leo wana huruma hivi? 2002 walimtwanga Saudi arabia 8 kwa nunge, juzi kati ureno kaipata fresh kala 4 kwa nunge sasa hawa Le France wanawalealea walitakiwa wawe wameshatundikwa hata 6 bila.
 
Benzema nae mchoyo tu,halafu anapiga shooti la kitoto kweli
 
France watasawazisha afu mechi itaamuliwa kwa matuta.
 
dakika ya nyongeza ni moja tu, ukizingatia kulikuwa na break ya kunywa maji, hii kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…