World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Wewe naona unajitafutia presha, nimesema Germany vs Colombia, sasa brazil anapitia mlango gani hapo? Na hata akipita anasubiriwa kwa hamu na vijana machachari wa Angela Makel

Mi nataka apite kasha apigwe na "vitu vyenye ncha kali" vya Makel
 
Mi nataka apite kasha apigwe na "vitu vyenye ncha kali" vya Makel

Haya bana ila ujue brazil ndo hivyo kashapigwa 3 kwa 2 na Colombia na kutolewa nje ya mashindano, umenipata? Hiyo gemu ya baadaye ni katika kukamilisha tu ratiba.
 
Mzinga wangu wakwanza umekata wapi house boy aende faster kwa masawe niendelee kuranduka maana hizi mechi bila kuwa pungufu kichwani unaweza kudata,team German ngapi ngapi wakubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…