World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

huyu khedira kamvuta huyo m France

match imechangamka sasa inapigwa huku inapigwa huku
 
Valbuena yuko vizuri ndio maana akamkalisha Nasri
 
Hivi ni timu gani ya EPL walisema wanamtaka Varane? DonDonald,Pazi.
Naona jamaa anazidiwa nguvu kila mara na Hummels, Klose na kuishia kukumbatia.
 
Mzinga wangu wakwanza umekata wapi house boy aende faster kwa masawe niendelee kuranduka maana hizi mechi bila kuwa pungufu kichwani unaweza kudata,team German ngapi ngapi wakubwa?

Mpaka ashushe mikono huyo leo.....bado 1-0,France anasumbua mahakama tu lkn kifungo chake leo....
 
Hii ni big match kwa maneno wala si kwe mchezo, mechi ya Algeria na Germany ndio ilistahili kuwa robo fainali.
 
tena we una kesi ya kujibu anza kutafuta wakili kabisaaaa

Ahahaha anyway nilipo ona inbox hamna kitu nikaenda sehemu kufuturu KAUKAU ambazo yy anaziita TAMBI lkn kwenye reality zile sio TAMBI bana

Mkoloni hajani convince bado kama anaweza msumbua Colombia nusu fainali
 
hawajui hawa brazil hajamfunga colombia kwa miaka 11 iliyopita zaidi ya kuambulia sare

Ndo maana nimemshangaa mjumbe aliyepita, ndugu mwenyekiti kwa ruhusa yako naomba kukaa maana umenisaidia kuweka kumbukumbu sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…