World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hii ni big match kwa maneno wala si kwe mchezo, mechi ya Algeria na Germany ndio ilistahili kuwa robo fainali.

ile game ilikuwa hovyo mkuu germany walionyesha kiwango kibovu haikupaswa kuwa robo fainali!
 
hawa wafaransa wasipoamka watashangaaa ujerumani ipo nusu fainali
 
DonDonald naacha kushabikia na kutangaza timu nitakazoshabikia kuanzia kesho.
 
Last edited by a moderator:
dk 63 evra hana hata presha kwa sababu kashazoea kupoteza game muhimu kama hizi akiwa na man united
 
Nadhani Kocha wa france alitakiwa kumsabu benzema hayupo mchezoni
 
Je jogoo atawika au atachinjwa, dakika 22 zimebaki tusubiri tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…