Natoa pendekezo kwa mods kutuanzishia uzi kama huu wakati wa UEFA CL kwani "nimeinjoi" sana kwenye huu uzi na nawapongeza wanajf wote mliochangia uzi huu mmejitahidi sana kuupa taswira genuine ya "social network".i'm proud to be a soccer fan.ukiufuatilia uzi huu utagundua soccer fans walivyo,peace and love!ndio maana nimeomba jamiiforums muendeleze hii kitu kupitia CL na pia uzi wa ligi kuu bongo.credits kwenu jf members hasa wale ambao ni wachangiaji wa mara kwa mara wa uzi huu.cc Invisible
Sasa hivi timu hiyo uisemayo haipo MANU ndiyo maana nikasema labda usajili unaweza kusaidia hili. Kumbuka mcheza mmoja mpya kwenye timu au wawili huweza kuibadili timu na ikaonekana ni timu tofauti sana kiuchezaji. Enjoy the game.