Malcolm X5
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 1,639
- 2,752
Maikon wa nini tena ...
Wazoefu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maikon wa nini tena ...
According to reports Liverpool have agreed a deal to sell Uruguay striker Luis Suarez to Barcelona for a £62.5million
Wazoefu mkuu
hata hivyo alishasema asingirudi uingereza kwani wao ndiyo wamepambasha mapka akafungiwa
Sidhani kama kusajili ni kuchukua kombe.
Kinachomata ni kuwa na wachezaji wanaocheza kiteam sio individual talents.
Angalia SAF mara ngapi anachukua kombe akiwa na team inayoitwa dhaifu mbele ya Man city wenye kikosi bora??
Fred nae leo atuonyeshe football jamani,sijaona makeke yake toka kombe lianze
Wazoefu wengi wakianza mechi hawafanyi vizuri (mfanko Klose leo) , bora angeanzia benchi
Huo ni mzigo kwenye hiyo timu...Fred nae leo atuonyeshe football jamani,sijaona makeke yake toka kombe lianze
Kigodoro ndo nini?Makeke kwani tunacheza kigodoro hapa? #TeamColombia
Muulize Chiellini au Ivanovic