World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ngoja niwait wimbo wa taifa wa brazil! jamaa wanaimba kwa mzuka sana hawa. hasa braza Silva.
 
Natoa pendekezo kwa mods kutuanzishia uzi kama huu wakati wa UEFA CL kwani "nimeinjoi" sana kwenye huu uzi na nawapongeza wanajf wote mliochangia uzi huu mmejitahidi sana kuupa taswira genuine ya "social network".i'm proud to be a soccer fan.ukiufuatilia uzi huu utagundua soccer fans walivyo,peace and love!ndio maana nimeomba jamiiforums muendeleze hii kitu kupitia CL na pia uzi wa ligi kuu bongo.credits kwenu jf members hasa wale ambao ni wachangiaji wa mara kwa mara wa uzi huu.cc Invisible
 
Last edited by a moderator:
Sasa hivi timu hiyo uisemayo haipo MANU ndiyo maana nikasema labda usajili unaweza kusaidia hili. Kumbuka mcheza mmoja mpya kwenye timu au wawili huweza kuibadili timu na ikaonekana ni timu tofauti sana kiuchezaji. Enjoy the game.

Sidhani kama kusajili ni kuchukua kombe.

Kinachomata ni kuwa na wachezaji wanaocheza kiteam sio individual talents.

Angalia SAF mara ngapi anachukua kombe akiwa na team inayoitwa dhaifu mbele ya Man city wenye kikosi bora??
 
Leo nitai'back' Colombia (ina idadi kubwa ya ndugu zetu ...)
 
Back
Top Bottom