Colombia 2-Greece 0
Dah goli la wazi pale
Dah!hizi mechi za mapema zote ntazikosa maskini!wakuu vipi mechi ya Colombia nzuri au ilimradi?
Dah!hizi mechi za mapema zote ntazikosa maskini!wakuu vipi mechi ya Colombia nzuri au ilimradi?
Greece hawana bahati tu kwa kweli. Wanakosa magoli kiajabu ajabu tu, pole yao. Colombia utawapenda tu
kula fresh alafu pata goli moja
Wanajua bhana,wana spirit,speed wanayo,wanajua kupasi, na wanajitumaTuseme ukweli huu mpira wa Colombia una tofauti gani na mpira wa timu ngoja niseme tena clubs za Afrika? Jamaa wana zile sawa na za kwetu, sijaona gonga kama za ulaya au nchi nyingine za Amerika kusini.
Tuseme ukweli huu mpira wa Colombia una tofauti gani na mpira wa timu ngoja niseme tena clubs za Afrika? Jamaa wana zile sawa na za kwetu, sijaona gonga kama za ulaya au nchi nyingine za Amerika kusini.
Fetfatzidis a rising Star
na mipango hewa yao..haijachanganya sana, colombia wanacheza polepole na kushambulia kwa kushitukiza, japo ugiliki wanajitutumua kiasi flani.
Dah!hizi mechi za mapema zote ntazikosa maskini!wakuu vipi mechi ya Colombia nzuri au ilimradi?
Kama vile mie nisivyo na hamu na timu ya Cameroon(wazee wa posho).hii ni burudani ya kwenye tv tuu,it's just a matter of choice.unachagua kitu roho inapenda kuangalia.wala haibadilishi chochote katika mioyo yetu.ila kuna jambo moja,there is a thin line between "uzalendo" and "ukaburu".beware!cc shifta Mourinho Belo Ntuzu ALEYN EMT na wapenzi wote wa soka ya ulaya humu jf.
Habari yako mzee mwenzangu?
Uko shamba nini? Na weekend yote hii uikose match ya muda huu?
Hili group kama Ivory coast ikikaza itaongoza hili group.
Wasilete ukameruni tuu.