World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

No Falcao No problem!!Namba 9 hiyo mwenyewe kakaa hapo juu na maumivu yake!Angekuwepo Falcao na beki hii ya Greece sasa ingekuwa 5 bila!!
 
Greece hawana bahati tu kwa kweli. Wanakosa magoli kiajabu ajabu tu, pole yao. Colombia utawapenda tu
 
Dah!hizi mechi za mapema zote ntazikosa maskini!wakuu vipi mechi ya Colombia nzuri au ilimradi?

haijachanganya sana, colombia wanacheza polepole na kushambulia kwa kushitukiza, japo ugiliki wanajitutumua kiasi flani.
 
Tuseme ukweli huu mpira wa Colombia una tofauti gani na mpira wa timu ngoja niseme tena clubs za Afrika? Jamaa wana zile sawa na za kwetu, sijaona gonga kama za ulaya au nchi nyingine za Amerika kusini.
 
Wanajua bhana,wana spirit,speed wanayo,wanajua kupasi, na wanajituma
 
Tuseme ukweli huu mpira wa Colombia una tofauti gani na mpira wa timu ngoja niseme tena clubs za Afrika? Jamaa wana zile sawa na za kwetu, sijaona gonga kama za ulaya au nchi nyingine za Amerika kusini.

Hawa jamaa wanaufaham vizuri mpira, wanacheza kwa kuangalia mchezo umekaaje, unaweza ona wapuuzi lakini ni noma.
 
Kama vile mie nisivyo na hamu na timu ya Cameroon(wazee wa posho).hii ni burudani ya kwenye tv tuu,it's just a matter of choice.unachagua kitu roho inapenda kuangalia.wala haibadilishi chochote katika mioyo yetu.ila kuna jambo moja,there is a thin line between "uzalendo" and "ukaburu".beware!cc shifta Mourinho Belo Ntuzu ALEYN EMT na wapenzi wote wa soka ya ulaya humu jf.

Ahsante kwa maelezo sahihi kabisa, mimi ni The Azzuri through and through na vijana wangu wa Bianconeri wataniwakilisha vizuri kabisa baadae au shifta na Ziroseventytwo mnabisha?
 
Last edited by a moderator:
Habari yako mzee mwenzangu?

Uko shamba nini? Na weekend yote hii uikose match ya muda huu?

Dah,mkuu we acha tu!wengine wetu kuwepo home mida hii ni kama bahati.hata weekend huwa tunapitia yale makandokando ambayo tunabanwa kuyafanya katikati ya wiki.si unajua bongo hii?
 
10365988_896925903656591_1529369749330779197_n.jpg

10309349_896845706997944_2673437278738709178_n.jpg

10463021_896845716997943_8498845885412272713_n.jpg

10366212_896845700331278_6923071734497318535_n.jpg
 
Back
Top Bottom