World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Katavi leo usitaje timu gani unashabikia.....unaumiza watu sana!
 
Watu wengi wamekuwa wakiidharau Brazil lakini wao wanaendelea kuchanja mbuga. Sasa wanaisifu Ujerumani lakini mwisho wa siku watashangaa mkoloni anaangushwa pwaaaaa!!!
 
Argentina anapita bila shaka.....ngoma ipo kwa mdachi ingawa ndo ana kura yangu leo....

Hee, mkuu leo unataka kulala vibaya!. Leo ni siku ya Belgium, go Belgium go!. Wapi Lukaku, wapi Origi? Mtaitaka, go Belgium go!
 
Hee, mkuu leo unataka kulala vibaya!. Leo ni siku ya Belgium, go Belgium go!. Wapi Lukaku, wapi Origi? Mtaitaka, go Belgium go!

Usimtaje na Hazard na Kompany usijemtia shinikizo la damu la juu bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…