s.crony
JF-Expert Member
- Jul 25, 2012
- 1,286
- 464
mkuu leo wapi karata yako?
Argentina anapita bila shaka.....ngoma ipo kwa mdachi ingawa ndo ana kura yangu leo....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu leo wapi karata yako?
Amani imetawala, shukrani zote anastahiki Muumba mbingu na nchi aliyetujalia kukutana hapa tena jioni ya leo. Binafsi ni buheri wa afya, karibu mkuu.
niwasalimieni wote hapa kwenye jukwaa letu pendwa
niwasalimieni wote hapa kwenye jukwaa letu pendwa
asnte nimeshakaribia timu gani leo?
Watu wengi wamekuwa wakiidharau Brazil lakini wao wanaendelea kuchanja mbuga. Sasa wanaisifu Ujerumani lakini mwisho wa siku watashangaa mkoloni anaangushwa pwaaaaa!!!Sure, why not?
Lakini so far sijaona kiwango wala lile samba la kibrazil kuniconvince otherwise, team inacheza ikimtegemea sana Neymar, huruma za marefa na undava kama jana
Ujerumani so far wamequalify kutoka kwenye kundi gumu na wamekutana na mitahani miwili mitatu mpaka sasa, lakini wameweza kuhold their nerves na kupata matokeo bila kutumia dark arts kama Brazil
Tupo poa, leo karata yako ipo wapi?
mmmmh,,,,,,,mimi leo hata sina timu sitaki presha kama jana.Argentina anapita bila shaka.....ngoma ipo kwa mdachi ingawa ndo ana kura yangu leo....
Katavi leo usitaje timu gani unashabikia.....unaumiza watu sana!
MEANDU binafsi nashukuru muumba....afya njema tunangoja mida tu.....
tupo pamoja #teambelgium . baadaye nipo #teamcostarica
Argentina anapita bila shaka.....ngoma ipo kwa mdachi ingawa ndo ana kura yangu leo....
Hahahahaaah......mkuu leo sina timu, maana naona nina nuksi kila timu ninayo shabikia inafungwa.Katavi leo usitaje timu gani unashabikia.....unaumiza watu sana!
Hee, mkuu leo unataka kulala vibaya!. Leo ni siku ya Belgium, go Belgium go!. Wapi Lukaku, wapi Origi? Mtaitaka, go Belgium go!
Hahahahaaah......mkuu leo sina timu, maana naona nina nuksi kila timu ninayo shabikia inafungwa.
c.c: Heaven on Earth, DonDonald.
tupo pamoja #teambelgium . baadaye nipo #teamcostarica
asante , leo karata yangu naiweka ubelijiji.
Hee, mkuu leo unataka kulala vibaya!. Leo ni siku ya Belgium, go Belgium go!. Wapi Lukaku, wapi Origi? Mtaitaka, go Belgium go!