Kompany kauza timu...
Wakuu msaada pls,,, SS3 yangu haionesh clear kitu knastak stak naweza saidiwa?
Sent from my iPhone using JamiiForums.í-½í´©í-½í´¨
Belgium atatepeta mapema sana kwa pace hii ya Argentina....
He he he he bila ruhusa umtemze?
Tumefungwa goli la 1 hapa daa uzembe wa mabeki
Linarudi.
Nilijua tu hawa watatepeta.....
Linarudi.
Yan sijachagua team bado na Arg wameshaweka kimoja?? Sio fair
Ila bado nipo Team Belgium
Team januzaj
Sema uzembe wa V. Kompany...