Hapa inaonekana bado goli la De Maria na Messi
Tangu robo fainali ianze timu iliyoanza kufunga ndo inaibuka kidedea
Ila kwakua siipendi Argentina lazima afungwe tu kwa namna yoyote ile
Tafadhali Katavi kama uko Belgium nakuomba uhame kwa nia njema kabisa
Bora leo sina timu.
Argentina asiposhinda leo nameza Mundu(sickle)
habari zenu bana
habari zenu bana
Kwi kwi kwi kwi....Jamaa kuanzia kombe la Dunoa lianze hakuna team aliyoshabikia imeshinda...
habari zenu bana
Tangu nianze kushabikia kombe la dunia hakuna timu niliyoisapoti ikashinda.Acha urongo wewe!! Haiwezekani yaani husiipende japo kidogo timu yoyote kati hizi...