Nachoona hapa kwa beki hii ubeligiji wanaweza kula nyingi
Wanajisahau wanapanda wote!
Ha ha ha haaah,,,,,,acha zako bhana.Thubutuuuuu!!!!! Brazil na nani....??
Alikuwa Team Colombia..
Perez inn
Dada Maria out
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Di Maria out, ni pigo kwa AG & unafuu kwa BG
mwekundu utamuweza hana lolote
Halafu Argentina wanashambulia sana
Thubutuuuuu!!!!! Brazil na nani....??
Alikuwa Team Colombia..
kwa mara ya kwanza ilishinda jana
msupuu, leo uko pande gani tu-bet?
Mbona umechelewa? Karibu tupo poa.
ndio mkuu jana ilikuwa team yangu ya pili kushinda katika haya mashindano.
Di Maria anaumia anaingia Tevez!Huyu Sabella kocha gani sijui huyu
Mara ya pili shemeji.....ya kwanza Italy tulimtandika malkia