Kikolo nimeenda sehemu 3 tofauti wote wanasema hawauzi kwa sasa mbuzi -katoliki sababu ya mfungo wa Ramadhan
Skype mbona sikuelewi?wewe si ulisema unashangilia Argentina?
Ngoja nikuwahi tu mkuu me ni #teamBrazil all time
hili tangazo la tigo zuri
Msemakweli mpenzi wa mungu.
hili tangazo la tigo zuri
Lukaku is warming up. Anakuja ujaribu kuokoa Jahazi.