Gwamahala
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 3,925
- 2,325
Kikolo nimeenda sehemu 3 tofauti wote wanasema hawauzi kwa sasa mbuzi -katoliki sababu ya mfungo wa Ramadhan
Hata mimi nilihisi this time itakuwa shida kuwapata...ila hata hivyo naona gemu itakuwa laini kinyume na tulivyotegemea!
Inaonekana Belgium watakuwa mdebwedo kama Colombia jana.
