masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
bila bila tupo dk 97
Wale walikuwa vibonde wao ndo maana wakashinda.
waholanzi wasipomaliza kabla ya dk 120, wanapoteza hii mechi.
na costa rica wana historia gan wc
Kipa wa Nerthelands anasoma gazeti
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Kipa wa Nerthelands anasoma gazeti
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
costa rica hawashambulii kabisa wanataka wakabahatishe penati
duuh leo wauza sembe wametumwa kombe