Kuna mtu anaitwa Krul, yeye ni specialist wa kuokoa penati...
Hii game ni balaa aisee...hii speed mtu unaweza kusema po!
Wadachi hawajawah kushinda penalt Kombe la dunia........nna mashaka
Costa japo wamechoka ila ngome yao ipo vizur sana,hata wakitoka wamepigana kiume haswaaaaaaaa!!
Arifu utakufa kwa hatred na kihoro!!!
Belo RRONDOebana hii mechi imeanza kuwa nzuri dakika 30 za nyongeza... Matuta hayooooo yanawadia..Bye Bye #TeamHolland na LVG wenu kajiandaeni kugongwa mengi old Trafford.
Costa japo wamechoka ila ngome yao ipo vizur sana,hata wakitoka wamepigana kiume haswaaaaaaaa!!
​WOW!!!! What a game!!!!
Andate...soka ndo ipo hivyo,huwezi kumfananisha pele na Diego hawakucheza mwaka mmoja...kwa Brazil Pele ni mfalme,kwa Argetina Diego ni king,hawa CR7,Messi,rooney wanacheza pamoja tunaweza kuwapima.....Huyo pele wako au Diego wangefika hadi kipindi hiki pengine wangekuwa km Adelfonce Amilima tu achana na Lunya yule alikuwa na kiwango!