World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Haka ka Campbell naona kanatafuta mkataba mnono ulaya!

Yupo Arsenal ya Wenger toka mwaka juzi,huwa anampeleka kwa mkopo Panathainakos ya Ugiriki!Nashangaa unamtoa Campbell kwa mkopo unamuacha Sanogo ahahahaha
 
Reactions: BAK
Jamani naomba kuuliza hivi hizi ndio timu za kundi letu la Italia?mbona nasikia homa!
 
Kazi ipo kila anaeanza kufunga ndo anashindwa,Cameroon tu ndo vibonde walishindwa kusawazisha na kushinda
 
Wenger sio tatizo la dogo kuwa mkoponi. Ni Sheria za kazi za England, dogo alinyimwa working permit mara mbili nadhani safari hii atapewa baada ya kufanya mambo UCL na World Cup hii.
Ni kweli unachosema angekuwa anatoka jumuiya ya Ulaya siku nyingi angepata kibali.
 
Dogo wetu unamwonaje? Akija Old Trafford atawazungusha kama pia kina Smalling, Phil Jones
DonDonald
 
Spain and Cameroon ndiyo teams dhaifu hadi sasa!Hazina mfumo wowote na inawategemea wachezaji wake wenyewe wa create play mchezo ukiwa unaendelea!!

Spain sio dhaifu, walithrow a towel baada ya kufungwa goli la tatu. Subiri uone moto kwenye mechi yao ya pili na ya tatu. watashinda zote mbili.
 
siamini unafuatilia kwa karibu hivi, umechagua timu gani mwaka huu?

wewe mimi mpira ndio starehe yangu. ninapoangalizia mwanamke ni mimi peke yangu hehehe mwaka huu nyota si njema sana kwangu kwani spain ilishaniharibia, nasubiri argentina, german na england (ofcourse team za africa ni automatic)
 
Kazi ipo kila anaeanza kufunga ndo anashindwa,Cameroon tu ndo vibonde walishindwa kusawazisha na kushinda

Ukitaka upate presha kweye michuano kama hii basi kuwa shabiki saaaana wa timu za afrika......Just tuzipe support tu kwa kuwa ni waafrika wenzetu ila.......
 
Sijui kwa nini huku haturuhusiwi ku bet katika soka?
 
Hawa Costa Rica wametumwa kazi na nchi yao. i'm happy with them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…