3-0 upo kakak nilikwambia?
Wamezoea kucheza kwenye cow shed pale Chelsick wanafahamu mpira wa kuhonga tu ... ... Oooops brown envelopes where is Oscar, Luiz et al .... .
hahaha we unanichekesha sana
Taratibu basi usije ukaachwa au nikupe adhabu ya kutorudi nyumbani huku bar niliko?5 Leo lazima iwe dozen
Hahahahaahahahahaaaa Brazil ya mwisho kuishabikia ilikua ya mwaka 1994, na huu mpira mixer mitama mnaocheza mwaka huu kama Stoke City ya Tony Pulis, nachoweza kuwasaidia ni kuwatakia kibano tu cha mkoloni
He warn you but you did not listen
Hivi tunaangalia basketball au soccer....
Lawama zangu ni kwa kocha wa brazil..hvi aoni kama tactics zake zimeshindwa.tangu wakiwa down kwa goli mbili ilionesha kabisa nyingne nyngi zinakuja lakini afanyi chochote.