World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Dah!!!! Mie wala sielewi, yaani pengo la wachezaji wawili ndiyo timu iwe midebwedo hivi!!!! Hata Ghana waligangamara na karibu wawaadhiri hawa Wajerumani, raha ya mchezo tupa kuleeeee duh!!!!!

3-0 upo kakak nilikwambia?
 
Wamezoea kucheza kwenye cow shed pale Chelsick wanafahamu mpira wa kuhonga tu ... ... Oooops brown envelopes where is Oscar, Luiz et al .... .



Yani Wewe bila kuitaja CHELSEA HURIZIKI?
 
hahaha we unanichekesha sana

Hii ya leo Hata taifa stars pamoja na kucheza kwetu hatujawah fungwa 5 ndani ya 30 minutes.
Unajua nilikuwa nimelala nikajisemea ngoja nikaangalie ushindi mie kumbe nimekuja kushudia kilio hata nimekosa usingizi maana bora nione mwisho tunatoka na ngapi kuliko kuamka na kukuta magoli mengi
 
"Brazil have gone. It is almost too late to even restore some pride. This is not being beaten. This is being humiliated."
 
Hata hao kina neymar wangekuwepo wangeambulia hayohayo tu

Brazil wamepita kimagumashi sana
 
Nadhani German watapelekwa "the hegue" kwa mauaji.....teh teh
 
Hahahahaahahahahaaaa Brazil ya mwisho kuishabikia ilikua ya mwaka 1994, na huu mpira mixer mitama mnaocheza mwaka huu kama Stoke City ya Tony Pulis, nachoweza kuwasaidia ni kuwatakia kibano tu cha mkoloni

Basi leo tutakukomaje??? Hongera bana.
 
Fifa itabidi walete TKO kama ile ya kwenye ndondi,ukipigwa 4-0 tu ktk game za mtoano kama hii mpira unaisha hapohapo maana huku ni kutiana aibu kubwa
 
Lawama zangu ni kwa kocha wa brazil..hvi aoni kama tactics zake zimeshindwa.tangu wakiwa down kwa goli mbili ilionesha kabisa nyingne nyngi zinakuja lakini afanyi chochote.

Afanye nini wakati hao akina Dante ndo the best options for today's match.
 
Tukisema brazil imetembelea mbeleko watu hawatuelewi humu ndani
 
Eeeh Malaika badilika uisaidie Brazil ishinde maana watauana hawa watu baada ya hii mechi
 
Back
Top Bottom