World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Yaani kiukweli tusiwapende Wajerumani, sio watu wazuri kabisa hawana huruma hata kidogo haiwezekani wafanye hivi kwa magoli 2 waliyofungwa 2002
 
Halafu gemu yenyewe wala si kwamba Brasil wamezidiwa hivyo....

What the hell is happening here?

Shocking!!!!!!!!!!!!!

That one thing Germany are capable off....utaona km hujazidiwa na hutoona mpira wowote wa kutisha wanaocheza....lkn utafungwa vibaya ....wawaulize Spain,GERMANY Maestro!
 
Utajiumiza bure kwa hasira mie baada ya goli la tano nikahama kabisa kwenye TV sijaangalia tena, labda sitaangalia tena maana matumaini yote yamepotea.

Watoe Dante, Fred, Oscar hawana kazi humo ndani leo nimejikuta hasira zimeondoka yaani nimecheka tuuu. A
 
Halafu hata Ujerumani yenyewe si kali kivile....walipekekeshwa na Ghana....Algeria .....hata Ufaransa waliwafunga goli moja tu.

Nini hii leo? Khaaaaaa!!!

Heri hata Chile au Colombia wangeingia nusu fainali......

This is surreal......
 
Wadau sasa tuchart wana German team mpoo jukwaani? Muhudumu tafadhali let's mizinga mi 5 fasta.

The Greeeeat Germany tunakamua kinyama, hatuangalii uko kwenye mbeleko sisi tunapiga bakora tu.
 
Baada ya Brazil kwenda kwa mganga wa kienyeji wameona matokeo .... ..
 
Halafu gemu yenyewe wala si kwamba Brasil wamezidiwa hivyo....

What the hell is happening here?

Shocking!!!!!!!!!!!!!

possession 56% kwa 44%
complete passes 234 kwa 173
shots 10 kwa 2
shots on target 7 kwa 0

ALL IN FAVOR OF GERMANS.....BADO TU UNAONA HAWAJAZIDIWA??? kama ingekuwa boxing hii ingekuwa TKO
 
Yaani kiukweli tusiwapende Wajerumani, sio watu wazuri kabisa hawana huruma hata kidogo haiwezekani wafanye hivi kwa magoli 2 waliyofungwa 2002
hili ni kombe la kulipa visasi km kuna mtu alikufunga miaka ile na ww mtandike mpaka asitamani kukutana nawewe tena
 
Utajiumiza bure kwa hasira mie baada ya goli la tano nikahama kabisa kwenye TV sijaangalia tena, labda sitaangalia tena maana matumaini yote yamepotea.

Yaani hasira zimeisha zote sasa nashangaa tu kama nimepoteza tiketi ya bahati nasibu
 
Mkuu we acha tu leo nataka nione maajabu ya dunia

mkuu kuna wakati mtu huwa anaomba baadhi ya matukio yawe ni ndoto tu au hadithi tu, unaomba uzinduke uone kilichotokea sio kweli ilikuwa ni haditi tu au ndoto. mfano ni match ya leo, yaani unaomba mpira uwe ni kama vile bado haujaanza na matokeo ni bila/bila.
cc Pasco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…