World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ewe punguani unamtaja Baloteli? hapa siongelei wachezaji naongelea Taifa zima lisilokuwa na watu wenye asili ya Afrika na ilhali walipelekwa huko kwa wingi kama sehemu zingine la bara la Amerika.

Jee, wewe unakijuwa kilichopelekea kutokuwa na Waafrika Argentina?

nimeishi argentina kwa miezi 9 weusi wazawa kibao au unazungumzia manzese argentina?
 
shukran kwa kushukuru.
Kwa kifupi mafanikio ya wachezaji watatu kwenye WC

Edson.

Akiwa na umri wa miaka 18, aliibeba brazil kuchukua kombe la dunia kwa mara ya kwanza mwaka 1958 alikuwa na umri wa mtoto wa kidato cha nne kwa TZ.
Akawabeba tena brazil wakachukua mwaka 1962.
Mwaka 1966 akalikosa.
Akawabeba tena brazil wakachukua ubingwa tena mwaka 1970.
Mara zote aliifikisha brazil at least robo fainali.

Diego.

Aliwabeba Argentina wakachukua WC mwaka 1986, waliwafunga german fainali.
Akawafikisha fainali mwaka 1990, walifungwa na german goli moja la penati, Andre Brehme alipiga hiyo penati.

Messi.

Hii ni mara ya tatu anashiriki, ana umri wa miaka 26, ameingia fainali ya kwanza ya WC mwaka huu 2014, hatujui kama Wajerumani watamwacha achukue.

Kuhusu Maradona kupigiwa kura awe mfalme wa soka duniani, zilikuwa ni hila kwa sababu Edson ni mweusi tiiiii, weupe mpaka kesho roho zinawauma lakini hakuna atakayefuta record za Edson, wapenda haki walitengua uteuzi wa Diego kwa kuhusisha madawa ya kuongeza nguvu.
Kampeni zipo tu kwenye michezo, media zinatumika kupaisha watu.
Wajerumani wamemrudisha Klose timu ya taifa ili avunje record ya kufunga magoli mengi kwenye WC, walikuwa wanamtengenezea nafasi za kufunga avunje rocord, ndio maana unaona hata goli lake alilowafunga Brazil mtoaji pasi alikuwa na uwezo wa kufunga wakampa yeye apige tena na tena.
Yote hiyo ni ili mtu wao ndiye awe ameweka record.

Hii inaitwa conspiracy theory au kwa kiswahili rahisi UZUSHI.
 
Huu ndio unaitwa uungwana michezoni au sportsmanship, kumbe Mkoloni hakupenda kuendelea kumdhalilisha Mbrazil nyumbani kwake na wakiwa mapumziko walikubaliana kupunguza kasi.

Habari iko hapa; Hummels says Germany pledged at half-time not to humiliate Brazil Mats Hummels says Germany made pledge at half-time not to humiliate Brazil in World Cup semi-final | Mail Online

Hawana mpango, mbona walipiga mengine mawili baada ya makubaliano? Kama wamevunja agano lao wenyewe bila shaka Mwenyezi Mungu atawapa ushindi Argentina katika fainali. Ingawa Argentina siipendi lakini kwa fainali hii niko upande wao wanipigie huyu Mkoloni wetu.
 
Ujinga mwingine unakuwa hauna mfano.

Kama kuna timu siipendi basi ni Argentina kwanza kabisa kwa ubaguzi wao wa rangi. Umeshamuona mtu mwenye asili ya Kiafrika Argentina? jiulize kwanini na walipelekwa huko kama walivyopelekwa bara zima la Amerika.

Ukijuwa kilichpelekea Waafrika kutokuwepo huko, utaichukia daima hiyo nchi na watu wake.

mbona timu yetu hakuna waarabu wala wahindi au sio wa tanzania wale ?
 
Hawana mpango, mbona walipiga mengine mawili baada ya makubaliano? Kama wamevunja agano lao wenyewe bila shaka Mwenyezi Mungu atawapa ushindi Argentina katika fainali. Ingawa Argentina siipendi lakini kwa fainali hii niko upande wao wanipigie huyu Mkoloni wetu.

Walikua na uwezo wa kushinda hata goli 12 ile match ila wakaamua tu kuwastahi wenyeji.
Mpira mipango, pesa na maandalizi Mkuu, hizo story za mungu danganya toto, or else angewapa ubingwa wenyeji
Halafu hivi kweli shabiki na mpenzi nguli wa Brazil anaweza kuishabikia Argentina? Hizi si kama Yanga/Simba, R.Madrid/ Barca, Man Utd/Liverpool au Fenerbache/Galatasaray?
 
Mi najiulizaga hivi mbana timu kama nigeria,cameroon na nyingine azichezeshagi wazungu ni kwamba africa amba wazungu waarabu ama wahindi wanaocheza mpira ama nao piia ni ubaguzi.?

you are so intelligent, sio tu hizo nchi ulizozitaja,hata Taifa Stars haina angalau Mhindi,Mchina,Mwarabu,Msomali,au Mzungu hata mmoja japo wapo wengi tu ambao ni raia,je sisi ni wabaguzi?
 
Ww knachokusumbua n akil na kujitambua,umejawa roho ya kibaguz tu,ikija dini upo na ubaguz wako afu na kwenye soka waja tena na wimbo wako ule ule,kama hujui soka kaa pemben,balotel n black fika bt mwambie kuwa ww kwenu n africa uone atakachokufanya....dunia imechange Argentina huijui ww piga kimya

Sent from my iPhone using JamiiForums.

huyu dada mimi huwa namshangaa!kuna siku alikuwa anashabikia alshabaab wanavyolipua kenya,nani amekwambia soka ni mchezo wa kufanya balance ya ngozi nyeusi na nyeupe??ule ni mchezo wa vipaji hata baloteli pale italy usifikiri amewekwa kwa sababu ya rangi yake bali ni kutokana na rangi yake!kama vitu vingine huelewi sio lazima kuchangia ndugu yangu!mbona taifa stars hakuna wahindi au wazungu wakati kuna wahindi wengi tu wenye uraia wa tanzania??picha uliyoweka inaonekana ni mtu nadhifu na mcha mungu lakini ukituma text zinatia kichefuchefu!
 
For all you World Cup fans, I couldn't resist!
VIVA BOTH PAPAS!!!

you are so intelligent, sio tu hizo nchi ulizozitaja,hata Taifa Stars haina angalau Mhindi,Mchina,Mwarabu,Msomali,au Mzungu hata mmoja japo wapo wengi tu ambao ni raia,je sisi ni wabaguzi?

mkuu hujui unachokiongea. ukiondoa mchezo wa soka ambao hata siyo hobby ya watu wengi wa asia kwenye michezo mengine kama swiming, badminton, tennis, automobile, cricket, chess, rugby etc Tanzania inawakilishwa kimataifa na Watanzania wenye asili ya Kiasia. shida yenu kubwa ni kwamba mchezo kwenu ni soka tu hamna idea ya michezo mingi inayochezwa hapa nchini.
 
1.England
2.Potugal
3.Netherland
4.Argentina

Netherland kacheza fainali mwaka 2010 lakini hakuchuokua

Argentina anacheza fainali 2014 na hatochukua.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
shukran kwa kushukuru..
Edson.

Akiwa na umri wa miaka 18, aliibeba brazil kuchukua kombe la dunia kwa mara ya kwanza mwaka 1958 alikuwa na umri wa mtoto wa kidato cha nne kwa TZ.
Akawabeba tena brazil wakachukua mwaka 1962.
Mwaka 1966 akalikosa.
Akawabeba tena brazil wakachukua ubingwa tena mwaka 1970.

Kuhusu Maradona kupigiwa kura awe mfalme wa soka duniani, zilikuwa ni hila kwa sababu Edson ni mweusi tiiiii, weupe mpaka kesho roho zinawauma lakini hakuna atakayefuta record za Edson, wapenda haki walitengua uteuzi wa Diego kwa kuhusisha madawa ya kuongeza nguvu.
Kampeni zipo tu kwenye michezo, media zinatumika kupaisha watu.
Wajerumani wamemrudisha Klose timu ya taifa ili avunje record ya kufunga magoli mengi kwenye WC, walikuwa wanamtengenezea nafasi za kufunga avunje rocord, ndio maana unaona hata goli lake alilowafunga Brazil mtoaji pasi alikuwa na uwezo wa kufunga wakampa yeye apige tena na tena.
Yote hiyo ni ili mtu wao ndiye awe ameweka record.
andate...actually my thanks was whenu started "name droppings..." km kuongea football tuongee tu si mengine yatatutoa nje ya soka,kwenye hii stats yako nimependa ila kwenye madai yako sijui conspirancy .....aaah mkuu ss kitafuata nini utakana hata Diego hana kiwango basi...?kwa nini conspiracy asitajwe Rooney basi ndo bora....Tuache uafrica huu wa kutafuta visingizio hata km facts zipo wazi.....
[h=2]The Legend Lives On[/h]Retirement did little to diminish the public profile of Pelé, who remained a popular pitchman and active in many professional arenas.
In 1978, Pelé was awarded the International Peace Award for his work with UNICEF. He has also served as Brazil's Extraordinary Minister for Sport and a United Nations ambassador for ecology and the environment.
Pelé was named FIFA's "Co-Player of the Century" in 1999, along with Argentine Diego Maradona. To many, his accomplishments on the soccer field will never be equaled, and virtually all great athletes in the sport are measured against the Brazilian who once made the world stop to watch his transcendent play....
 
mkuu hujui unachokiongea. ukiondoa mchezo wa soka ambao hata siyo hobby ya watu wengi wa asia kwenye michezo mengine kama swiming, badminton, tennis, automobile, cricket, chess, rugby etc Tanzania inawakilishwa kimataifa na Watanzania wenye asili ya Kiasia. shida yenu kubwa ni kwamba mchezo kwenu ni soka tu hamna idea ya michezo mingi inayochezwa hapa nchini.

Vipi waarabu waliopo Tanzania nao hakuna mwenye hobby ya soccer?Kwa kauli hiyo tunajuaje kama watu weusi wa Argentina wanapenda soccer,maana michezo ni mingi
 
Back
Top Bottom