The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Kama wewe ulivyo disappear na ice cream yangu.
nina ice cream lita moja nzima for you....fanya namna nikupatie..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe ulivyo disappear na ice cream yangu.
Subir tuite fire
aibu .. ningekuwa Scolari ningejiuzulu ..
Bora hatimaye wijnaldum kapata goli .. amecheza vizuri sana tangu mwanzoni ..
Brazil wamepata aibu ambayo hawajawahi ipata kamwe na huenda wasiipate,Kumbuka wao ndio wameandaa haya mashindano na walikuwa wanapewa nafasi kuchukua ubingwa tofauti na Holland ambao hawakutegemewa hata kupita kwenye makundi
Naam huo ndio ukweli wa mambo, wametumia U$ bilioni 11 kuboresha miundo mbinu na kujenga viwanja vikali sana, lakini wakasahau kuboresha timu yao sasa imekula kwetu.
Kesho nipo #teamgermany
utatukoma kesho!
Duh!! Aibu aibu!! Hata Africa hawajawah kufanya hii mambo.
Naam huo ndio ukweli wa mambo, wametumia U$ bilioni 11 kuboresha miundo mbinu na kujenga viwanja vikali sana, lakini wakasahau kuboresha timu yao sasa imekula kwetu.
Kalale tu mwaya! Diripu zenyewe nimemfunga mbrazili mwenzio hapa!
kibanda ndio kinazidi kuteketea hiko Br 0-3 Nd!
Uwe na usiku mwema! Na usisahau kufanya tahajudi!
Scolari ----- sana ..bado anafundisha mpira wa kizamani wa kukimbia kimbia...hawaoni argentina wanavyofunga defense..
Kweli nyumbani ni nyumbani lakini ikija kwenye soka sitaki kusikia hizo habari.
Wewe endelea tu kuwa na false hope.
Mi nabakia na Brasil yangu, through thick and thin.
kesho argentina anachezea goli zisizopungua 3