Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
Una tatizo la ubishi, ndio maana hata kwenye bars zako hukutani na Wana JFZimekuogopesha zile 7-1 kwa wachovu Brazil ambao hata leo Holland wangempiga easily tu?
#TeamGerman
#TeamMkoloni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una tatizo la ubishi, ndio maana hata kwenye bars zako hukutani na Wana JFZimekuogopesha zile 7-1 kwa wachovu Brazil ambao hata leo Holland wangempiga easily tu?
Ngabu I am not sure kama unafuatilia mpira......hasa Eoropean Champions league...hiki kilichotekea bRAZIL kimewahi itokea timu za Spain mwaka jana..Barcelona na Real Madrid.... walipigwa hivi hivi na tinu za Ujerumani....Barca walipigwa saba na Bayern na Barca hiii hii yenye Messi.....wataalamu wanasema kuna kitu kimebadilika kwenye mpira...ndo maana unaona Brazil anafungwa huku anaongoza 'ball possessions '.......wanahitajika wajifunze European way of defending....Argentina wana defend European way...sio kama zamani tena.....so kikubwa ni tactic na technincs
Daaah!Mkuu kesho tuone soka pamoja kaka!Njoo Ukonga Ballacks tule bata kaka
Daaah!Mkuu kesho tuone soka pamoja kaka!Njoo Ukonga Ballacks tule bata kaka
Hivi huyu zeruzeru wa tbc1 anataka nini, mbona kazi yake kuishambulia brasil tu
hahahaha yaani anaongeaga huyo
Pole mamito
hahaha acha ubishi.
Mie ni #TeamAfrica kwanza zikishatolewa timu za kwetu ndio narudi kambini #TeamBrazil.
Dada nipe namba nikukaribishe kama mgeni maalum home
ko iliisha kwa 3 - 0
We binti hebu kalale ukue. baadae uungane nami kumshangilia mtakatifu mwenzangu Messi.
haha nia na madhuni ya huu mkaribisho ni nini
Kumbe na ww ni team brazil? ? Pole besti
haha nikue mara ngapi binti yako.
nimeamka najiandaa kwenda ibadani babu.
We binti hebu kalale ukue. baadae uungane nami kumshangilia mtakatifu mwenzangu Messi.