World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

shida nyingine ziko nje ya uwezo!!house girl kamaliza kuangalia movie ya back to life part 1 EATV.Naweka match TBC hapa naye hupo tuu.hiii anashangilia brazili kurudisha goli.Ajabu wife kalala kitambo!sasa kwanza match hii iishe tuanzishe yetu ya kirafiki
umeua.na bado kuna ambazo zitachezwa mpk SAA Saba ucku.ni shida
 
Wageni kaangalieni Tv kwenu si mnazo?
Hata kama ndogo mechi ni hii hii.
Makelele na mnaninyima uhuru na mume wangu
 
Ni wa nchi gani huyo kaa?
World Cup: Big Head the Turtle Predicts Brazil Will Beat Croatia - TIME
Kaa.jpg
 
Kwa Croatia walivyokoswa koswa hapa lazima tu walie leo
 
Wageni kaangalieni Tv kwenu si mnazo?
Hata kama ndogo mechi ni hii hii.
Makelele na mnaninyima uhuru na mume wangu
Hahahaaah,,,,,kwani wapo humu facebook? Wape makavu hapohapo sebuleni kwako.
 
Back
Top Bottom