Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Ni wa nchi gani huyo kaa?Yah safari hii kaa ndo anatabiri na ametabiri Brazili kushinda mechi ya leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wa nchi gani huyo kaa?Yah safari hii kaa ndo anatabiri na ametabiri Brazili kushinda mechi ya leo
umeua.na bado kuna ambazo zitachezwa mpk SAA Saba ucku.ni shidashida nyingine ziko nje ya uwezo!!house girl kamaliza kuangalia movie ya back to life part 1 EATV.Naweka match TBC hapa naye hupo tuu.hiii anashangilia brazili kurudisha goli.Ajabu wife kalala kitambo!sasa kwanza match hii iishe tuanzishe yetu ya kirafiki
Hahahaha sasa mshikakiendela anaombea timu pinzani ishindwe kuna dalili za upendeleo hapaMie tena!? Mshika kibendela ati
Ni wa nchi gani huyo kaa?
yaah Brazil kila mtu ana jitegemeaVipaji binafsi ndo tegemezi ya Brazil
Okay kumbe ni kobe.....Ni kobe sio kaa
Ushindi kwa Brazil lazima leo.
Huyu refa mzushi, ameanza kuwapa free kicks Brasil za bure. Anatoka uchina uchina ipi?
Hahahaaah,,,,,kwani wapo humu facebook? Wape makavu hapohapo sebuleni kwako.Wageni kaangalieni Tv kwenu si mnazo?
Hata kama ndogo mechi ni hii hii.
Makelele na mnaninyima uhuru na mume wangu