World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Niliwahi kusema hapo awali kwamba Fc Barcelona kutokufanya vzr ktk la liga na champions league NA kuzeeka kwa wachezaji Ndio matokeo yake Haya! 5 kwa moja!
 
Punguza hasira bana! Ndio mpira dada yangu, Naamini Spain wata qualify second round.

Second round ya interview ya uhamiaji au?unawajua chile au unawasikia yaani waanze kufunga mizigo
 
Mdogo wangu karudi analia eti ameliwa kwenye betting,,,,,,
 
espain kufungwa goli tano kwa moja na uholanzi kama wamepoza majungu wa ubingwa wa dunia miaka minne iliopita
 
mkuu kwa huu mziki wa nertherland wakikutana na team zetu za ki Afrika sijui itakuaje aisee?

Nalia Timu yangu imefungwa ila swali lako limenipa relief nilivyokumbuka cameroun aisee nimecheka I cant imagine aisee
 
Spain mpira wanaocheza wa tick tack umesha expire !!
Wawaulize barcelona wako kwenye plan za kubadilisha mchezo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwenye picha hapo juu naona torres anashudia wanaume wanavofunga
 
Back
Top Bottom