ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,984
- 360
Hivi cazora akuitwa...?
Ahaahaa...mtawakumbuka wote! koke je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi cazora akuitwa...?
Jamaa ana sura ya kizee, ila lakini ni kijana wa miaka 30 tuu!
Chile ni nuksi kwelikweli. Wakicheza kama leo watapigwa tena.
nimemwona patrick kluvert ndio asst coach
Punguza hasira bana! Ndio mpira dada yangu, Naamini Spain wata qualify second round.
ilo ilo litakua linateleza..this is total humiliation..
mkuu kwa huu mziki wa nertherland wakikutana na team zetu za ki Afrika sijui itakuaje aisee?
Second round ya interview ya uhamiaji au?unawajua chile au unawasikia yaani waanze kufunga mizigo
ukisikia mtu kafungishwa tendo la ndoa ndio hii
Mpira ni mchezo wa makosa ninamwamini sana mzee villa bosc bado mechi tunazo shaka ondoa natamani tukutane nao tu tenaLeo tumedhalilishwa aisee.....hamu sina kabisaaaa...