Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdogo wangu karudi analia eti ameliwa kwenye betting,,,,,,
Ww still Nina matumaini may be wafunge japo 5 -0 mechi ijayo
rubaman
Nilikuwa ninawasikiliza pundits kabla ya mechi wakawa wanasema , jana walikuwa wanamuhoji kocha wa Spain, wakamuuliza haoni kama mwaka huu ndio the end of the era of Spain{ukiangalia umri wa wachezaji, viwango vyao}, akawa mkali kujibbu/kukubali
Ila sasa nimeungana na hao waandishi wa habari
Tunapomzungumzia Torres yaan bora hata John Boko teeh teehee
Kwani Spain ana kutana na chile second round?
Jaman dakika ya ngapi na updates pliz?
Leo tumedhalilishwa aisee.....hamu sina kabisaaaa...
Kwani Spain ana kutana na chile second round?
Mkuu ni mpira huoInauma sana tano? duh...
Duhhh Nina Imani watajipanga upya. Hawawezi kukubali hii aibu