World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

nasikia waspanish wanalaumu jezi zao. kuna baadhi yao wanaamini timu yao ikiweka nyuzi nyeupe kinachofuata ni kipigo!
 
Ww still Nina matumaini may be wafunge japo 5 -0 mechi ijayo

Hata World Cup iliopita Spain walifungwa mechi ya kwanza lakini walichukua ubingwa Kama unakumbuka, ila Iniesta na Xavi ni wazee timu imekufa kwenye kiungo.
 
rubaman

Nilikuwa ninawasikiliza pundits kabla ya mechi wakawa wanasema , jana walikuwa wanamuhoji kocha wa Spain, wakamuuliza haoni kama mwaka huu ndio the end of the era of Spain{ukiangalia umri wa wachezaji, viwango vyao}, akawa mkali kujibbu/kukubali

Ila sasa nimeungana na hao waandishi wa habari

Hawa jamaa(Spain) hata kipindi cha dominance yao nilikuwa siwafagilii wala nini. Ukiangalia kiundani umri ulikuwa ndo kikwazo kwao pia staili yao kama ya Barca (UCL) timu nyingi zilijua jinsi ya kucheza vs Spain..Vile vile hii inaweza kuwa ndo zile off day, naamini watavuka group stage Chile na Australia hawatapata points za kuwavusha toka katika hili group. Afu hata hawa Holland sijui kama watafika mbali kama kombe la dunia lililopita timu yao ina wacheza kadhaa ambao umri wao upo "lala salama", na baadhi bado wachanga, tusubiri tuone itakavyokuwa
 
2370054_big-lnd.jpg


Get out of my way!

Dany Nounkeu of Cameroon (L) vies with Marco Fabian of Mexico

Friday, 13 June 2014
NATAL, BRAZIL - JUNE 13: Dany Nounkeu of Cameroon (L) vies with Marco Fabian of Mexico during the 2014 FIFA World Cup Brazil Group A match between Mexico and Cameroon at Estadio das Dunas on June 13, 2014 in Natal, Brazil. (Photo by Mike Hewitt - FIFA/FIFA via Getty Images)

2370052_big-lnd.jpg

[h=4]Samuel Eto'o (C) of Cameroon consoles Nicolas N'Koulou (L) and Stephane Mbia[/h]Friday, 13 June 2014
NATAL, BRAZIL - JUNE 13: Samuel Eto'o (C) of Cameroon consoles Nicolas N'Koulou (L) and Stephane Mbia after the 2014 FIFA World Cup Brazil Group A match between Mexico and Cameroon at Estadio das Dunas on June 13, 2014 in Natal, Brazil. (Photo by Shaun Botterill - FIFA/FIFA via Getty Images)



 
daah nimekubali aisee...............but still tutasonga mbele
 
Goli la mwisho casilas anaramba sakafu na kugara gara kama kitoto cha paka....yani kaaibishwa sana aisee!!
 
hii inaitwa kipigo cha mbwa mwizi tumeandika historia. nimefurahi sanaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom