Leo namuonea huruma Balotelli lawama zote atasukumiziwa yeye so ajitaharishe na Agency wake kutua London nafikiri Wenger atampa hifazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo namuonea huruma Balotelli lawama zote atasukumiziwa yeye so ajitaharishe na Agency wake kutua London nafikiri Wenger atampa hifazi.
Hapana, ila najiona kama nitakua naendeleza ile dhana "Mzungu anaweza kila kitu" wakati muda huo ushapita. Istoshe, hili ni kombe la Dunia (linahusisha mabara yote) Kwahiyo najiona mwehu kumshangilia mzungu (asie nihusu) wakati waa_Africa wenzangu wapo. Labda ingekua URO.Utakuwa mbaguzi wa rangi wewe.
Hata mimi ni mpenzi wa Soccer la ulaya. Lakini linapokuja swala la michuano ya changanyikeni (mfano COPA MUNDIALI) nakua sina kabisa msisimko na wazungu. Binafsi ni mpenzi wa UNITED kibongobongo AZAM, lakini ikatokea zikakutana timu hizo, lazima nitakua upande wa AZAM.Kama vile mie nisivyo na hamu na timu ya Cameroon(wazee wa posho).hii ni burudani ya kwenye tv tuu,it's just a matter of choice.unachagua kitu roho inapenda kuangalia.wala haibadilishi chochote katika mioyo yetu.ila kuna jambo moja,there is a thin line between "uzalendo" and "ukaburu".beware!cc shifta Mourinho Belo Ntuzu ALEYN EMT na wapenzi wote wa soka ya ulaya humu jf.
Ndio bado roho ya ubaguzi ipo wewe shangilia unachopenda sawa na basi usishangilie hizo timu za Africa za wenzako shangilia Taifa stars tu sababu ukileta kipimo cha u africa na European utakuwa umewekea ubaguzi usiige roho zao mbaya wewe Kuwa Mfano Mzuri tu ila Sema tu Mie naishabikia timu za Africa ila sio kwa sababu Fulani mzungu au Fulani mwarabu au Fulani mweusi ndomana timu yetu ya Taifa haina wahindi wakati wapo ni raia.Hapana, ila najiona kama nitakua naendeleza ile dhana "Mzungu anaweza kila kitu" wakati muda huo ushapita. Istoshe, hili ni kombe la Dunia (linahusisha mabara yote) Kwahiyo najiona mwehu kumshangilia mzungu (asie nihusu) wakati waa_Africa wenzangu wapo. Labda ingekua URO.
Tulipoteza kwa goli moja, lakini refa katunyima penalty yetu. Ila bado ninaimani na watu weusi wenzangu. Vp mwenzangu, kati ya mabeberu yaliyo twangana jana lipi lilikua beberu lako?
hamna mchezaji mwenye asili ya afrca hata moja acha wapigwe 2,kwanza ni wabaguzi
Ndio bado roho ya ubaguzi ipo wewe shangilia unachopenda sawa na basi usishangilie hizo timu za Africa za wenzako shangilia Taifa stars tu sababu ukileta kipimo cha u africa na European utakuwa umewekea ubaguzi usiige roho zao mbaya wewe Kuwa Mfano Mzuri tu ila Sema tu Mie naishabikia timu za Africa ila sio kwa sababu Fulani mzungu au Fulani mwarabu au Fulani mweusi ndomana timu yetu ya Taifa haina wahindi wakati wapo ni raia.
Kwamoyo mkunjufu, tunapiga leo.Jamani leo naamka saa kumi usiku kwa ajili yenu,sasa msiniangushe wapigeni hao Wajapan.
Hiyo ni kweli ndio tabia Yao ila Italy Leo wataokota nyavuni sana Pirlo Leo Pasi hatoweza kutoa basi sioni Pirlo kufikisha Pasi Leo.Tatizo la England hamkawii kulaumiana katika media. Subiri utakavyoona wakina Hodgson,Welbeck, SG, Hart watakavyolaumiwa mkishatolewa. Vitisho vya maisha vitafuata
Tatizo la England hamkawii kulaumiana katika media. Subiri utakavyoona wakina Hodgson,Welbeck, SG, Hart watakavyolaumiwa mkishatolewa. Vitisho vya maisha vitafuata
usijali bwana 072,Spain watarudi,daima wanateleza ila kamwe hawaanguki,hawa Holland ni wazuri na wana kocha mzuri ambae anawajua vizuri waspain hususan kizazi cha La Masia Barcelona ambako ndipo aliwafundisha akiwa kocha na msaidizi wake Mourinho,kibinafsi nakiri Spain wana kitu kimoja wakiwa frustrated(mfadhaiko)basi wanakuwa wanapagawa sana,na hata sub zinakuwa zinamchanganya kocha Del Bosque anashindwa kuelewa afanye nini,ila yote 9,bado wana nafasi ya kufika mbali na hata huenda wakatetea kombe maana Spain wapo juu kisoka,inatokea dhahama inawakumba ila wakijirudi wanakuwa moto mechi hiyo,nadhani Casillas na costa walikuwa wamepagawa sana Costa kitendo cha kuzomewa dk zote akigusa mpira na Casillas kujiamini kulipungua,nadhani kuna haja kina De Gea au Reina kupewa nafasi mechi ijayo,na hata beki Juan Fran ambae anaweza kusaidia patna ya Ramos na Pique ambayo bado haijaelewa kidogo,ila in La Furia Roja tunaamini.Soka lina furaha na huzuni pia. Lakini hiki walichofanya leo Uholanzi ni udhalilishaji. Magoli 5-1 tena unamfunga bingwa mtetezi? Dah sijui kambini kwao kutakuwaje. Casilas mpaka anaingia kaburini hatamsahau Ajern Robben. Amemtesa sana leo, amemfanya awe flop of the mech. Amemdhalilisha akishikiana na RVP. Naamini kwa hawezi kupata tena nafasi ya kukaa tena golini kwa mechi zilizobakia. Pole gutierez
Ketembea mjini leo mpaka unasikia raha, kila mtu ana smile tuu "Dalili za ushindi"
Kama vile mie nisivyo na hamu na timu ya Cameroon(wazee wa posho).hii ni burudani ya kwenye tv tuu,it's just a matter of choice.unachagua kitu roho inapenda kuangalia.wala haibadilishi chochote katika mioyo yetu.ila kuna jambo moja,there is a thin line between "uzalendo" and "ukaburu".beware!cc shifta Mourinho Belo Ntuzu ALEYN EMT na wapenzi wote wa soka ya ulaya humu jf.