World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Huyu coach wa CR huko kwao anajullikana kama 'Mourinho wa South America'
 
Kama siyo 100% basi 99% mhindi kapiga

Maana hata mzee Leak wa ch-10 alisema costa wataondoka na kapu la magoli.... Thubutu soccer lolote lawezekana.
Yaani wengi hawakuwategemea costa rica lakini kusema ukweli mpira una dunda
 
This tournament make me sick..

Kwa kweli mkuu ila nadhani kuanzia mechi ya pili hawa wakubwa watabounce back!mechi za kwanza ni psychological warfare,kuanzia za pili,watashinda wenye strength in depth ya miguuni na kichwani,sio mbio tuu!mechi za pili na tatu zitakuwa kali mno.hii world cup itakuwa nzuri mno.
 
Ina maana hawa Costa Rica wakitoa draw kwa Italy na England si wanaweza kuvuka hi stage??
 
Nadhani hii ndo top game so far kati ya zote za World Cup hii. Ebana dogo wetu ni mfungaji vile vile anajua kutoa vyumba, Mwaka ujao ni wetu. Honestly, Uruguay wamemmiss Suarez nadhani jamaa angekuwa full fit hii mechi ingekuwa tofauti sana.


Huyo dogo wenu nakumbuka alipocheza na chama langu kwenye CL alitusumbua sana na kama sikosei alitufunga goli pia.

Tatizo lenu Arsenal timu nzima imejaa wachezaji wa aina hiyo, hamna aina tofauti za wachezaji kama Roay Keane, Vieira

Uruguay ninaweza kuhisi watatolewa
 
jamani watu msisahau kuna timu inaitwa bosnia hezegovina na game yake argentina tunaweza kupata matokeo wengi tusiyotarajia.
 
Balaa ni wajapani, wale jamaa wanaakili ya soccer kupita kiasi.

Ivory cost wakifanya mchezo, haki ya mungu akina

Nagatomo, Honda, Uchida, Yoshida, Yamaguchi, kagawa na the likes watatufanya kukosa usingizi wa asubuhi baada ya mkesha.
 
Back
Top Bottom