World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kuna jamaa anahojiwa tbc from belgium,anakwambia huko , serie a ni maarufu tofauti na huku kwetu ambako ni premier league mwanzo mwisho.watu wanazungumzia kikosi cha Italia zaidi kuliko England.kweli duniani tunapishana.
 
jamani watu msisahau kuna timu inaitwa bosnia hezegovina na game yake argentina tunaweza kupata matokeo wengi tusiyotarajia.

Bora iwe hivyo inatuondolea ubwanyenye kwa baadhi ya nchi kujifanya wajuvi wa soccer kuliko wengine.
 
Ukitaka upate presha kweye michuano kama hii basi kuwa shabiki saaaana wa timu za afrika......Just tuzipe support tu kwa kuwa ni waafrika wenzetu ila.......
hahahaha,ni hatariiii,leo alfajiri ivory coast.wanaweza shinda
 
download (1).jpg Uruguay hoi kipindi cha pili kwa Costa Rika download.jpg

Mabingwa wa kwanza kunyakua kombe la dunia Uruguay wameshindwa kufurukuta kipindi cha pili baada ya Costa Riko kusawazisha katika kipindi cha pili na kuongeza mabao mawili ya ushindi na kuifanya kuondoka na point zake tatu safi. Kutangulia sio kufika kama ilivyotokea kwa Barazil mechi ya ufunguzi.
 
wameshaingia uwanjani, wanapasha.
Engand wanapasha na jezi nyeupe zina kama msalaba mwekundu mgongoni, italy za blue.
 
Italy wazuri tatizo ni kuwa leo wanafungwa na timu kubwa England
Naona Daniel Sturridge anacheza mbele ya Rooney, pembeni kulia yupo Raheem Sterling, pembeni kushoto yupo Danny Welbeck.
 
Come Boys #TeamEngland [h=3]England[/h]
  • 01 Hart
  • 02 Johnson
  • 03 Baines
  • 14 Henderson
  • 05 Cahill
  • 06 Jagielka
  • 19 Sterling
  • 04 Gerrard
  • 09 Sturridge
  • 10 Rooney
  • 11 Welbeck
 
Naona Daniel Sturridge anacheza mbele ya Rooney, pembeni kulia yupo Raheem Sterling, pembeni kushoto yupo Danny Welbeck.
Kwanini Welbeck asicheze Mbele wing wanampoteza na Rooney pia Wing wanampoteza wangemuweka Raheem kutoka bench Barkley kuanza angekuwepo Ox ningependa kuona OX kulia Raheem kushoto then welbeck bench ila hivi Raheem angekaa Bench Barkley aanze.
 
Back
Top Bottom