Baba Kelvin
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 788
- 139
Tuko pamoja mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani watu msisahau kuna timu inaitwa bosnia hezegovina na game yake argentina tunaweza kupata matokeo wengi tusiyotarajia.
hahahaha,ni hatariiii,leo alfajiri ivory coast.wanaweza shindaUkitaka upate presha kweye michuano kama hii basi kuwa shabiki saaaana wa timu za afrika......Just tuzipe support tu kwa kuwa ni waafrika wenzetu ila.......
Umekosea kidogo tu. Ni Italy na Costa Rica.
Habari nzuri kwa #TeamEngland
Raheem Sterling will start for England against Italy in their World Cup opener in Manaus tonight, according to Sky sources.
Italy unawatoa hata kabla haujawaona mkuu.
hahahaha,ni hatariiii,leo alfajiri ivory coast.wanaweza shinda
Ina maana hawa Costa Rica wakitoa draw kwa Italy na England si wanaweza kuvuka hi stage??
Naona Daniel Sturridge anacheza mbele ya Rooney, pembeni kulia yupo Raheem Sterling, pembeni kushoto yupo Danny Welbeck.Italy wazuri tatizo ni kuwa leo wanafungwa na timu kubwa England
Huku pia hawakuli bet North American sports. Sijui online.Sijui kwa nini huku haturuhusiwi ku bet katika soka?
Naona Daniel Sturridge anacheza mbele ya Rooney, pembeni kulia yupo Raheem Sterling, pembeni kushoto yupo Danny Welbeck.
Kwanini Welbeck asicheze Mbele wing wanampoteza na Rooney pia Wing wanampoteza wangemuweka Raheem kutoka bench Barkley kuanza angekuwepo Ox ningependa kuona OX kulia Raheem kushoto then welbeck bench ila hivi Raheem angekaa Bench Barkley aanze.Naona Daniel Sturridge anacheza mbele ya Rooney, pembeni kulia yupo Raheem Sterling, pembeni kushoto yupo Danny Welbeck.