World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Huyu jamaa anashikashika mguu chini nini bwana hawa kwani huwa wanaumia? Si Vyuma hawa? Anakuwa Kama Ali Mayai.
 
Wala Cocoa wataruhusu Wajepu warudishe, beki yao imepwaya na kipa wao kama mkulima fulani hivi.Subirini mtaona. Ivory Coast na vipaji vyote wanacheza mpira mbovu kuliko timu ya Champioship England
 
bora wameenda ivory cost maana tulikuz tunawawekea kauzibe tu hawa ndio vidume
 
Nilidhani Togo na Angola zilikuwa timu mbovu zaidi toka Afrika kwenda Kombe la Dunia hawa wala Cocoa na vipaji vyao wanaweza kuwekwa katika group moja na Togo na Angola
 
Back
Top Bottom