Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walio fungwa.Hahaha sasa Maboya ni waliofunga au walio fungwa?
Kukesha kwangu kuna faida na utabiri wetu mimi na farkhina umeenda sawasawa labda waongeze. Am happy now
Kukesha kwangu kuna faida na utabiri wetu mimi na farkhina umeenda sawaswa labda waongeze. Am happy now
Mungu linda matokeo haya maana perfomance ya Cameroon jana imeniogopesha sana!!
Mkwe #viol utabir wangu umepasi hadi sasa
Oyah, yule aliekua akishabikia tim bodaboda yuko wapi?
Anaelekea atakua na wivu wa kike yule.Anasubiri boda boda wasawazishe aanze kuponda