World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Merci Les Elephants,nimefurahi sana baada ya kuamka nakuta walishinda,i wish ningeangalia hii match!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
naombeni matokeo ya spain na netherland

hahahaha......

attachment.php
 
Yaani analia kwasababu anafahamu safari imeshawadia yakurudi England - Sures lazima awachinjie mbali hataka

Ni kwa kudaka au kung'ata meno lazima awaadhibu.

England wana tatizo kubwa sana kwenye team yao, sema hawataki kulitatua
 
Yaani tores kama mwaikimba tu

haahahha!,,,usinikumbushe huyu jamaa "mwaikimbimba" alivyokuwa anazingua pale mbele halafu Maximo ndo alikuwa hasikii wala haoni kila mechi jamaa yumo tu
 
miili mikubwa kumbe ndani skonsi za kunywea chai...nina matumaini na super eagles na ghana tu baaas

supuer eagle si ndio nick name yao hawa Ghana au? ,,,,nahisi ulimaanisha ivoty cost mkuu japo nao wanazingua tu
 
Back
Top Bottom