Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti ivory coast ilishinda...?
Merci Les Elephants,nimefurahi sana baada ya kuamka nakuta walishinda,i wish ningeangalia hii match!
Yaani analia kwasababu anafahamu safari imeshawadia yakurudi England - Sures lazima awachinjie mbali hataka
Ni kwa kudaka au kung'ata meno lazima awaadhibu.
Si masihara lazma adondoshe chozi
Wana mechi ngumu sana na Uruguay, kila timu imejeruhiwa hapo. Wana kazi ngumu sanaEngland wana tatizo kubwa sana kwenye team yao, sema hawataki kulitatua
Yaani tores kama mwaikimba tu
group G nahisi ndilo la kifo tu hapooo![]()
Follow the LIVE UPDATES here. Schedule and results on 2nd post
naombeni matokeo ya spain na netherland
miili mikubwa kumbe ndani skonsi za kunywea chai...nina matumaini na super eagles na ghana tu baaas
Daah bora aisee Cote D'ivoire wamejitahidi kile kipindi cha kwanza kilikua tumbo joto bora Drogba alivoingia yaan sitaacha kushangilia timu za Afica in this cup #GoTeamAfrica .
ndio mkuu kashinda gori 2 -1 zote kashinda
Vipi wakuu,mechi ya Ivory Coast ilikuwaje?kiwango chao?cha Japan?