World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

duuu wabrazil wana shangilia tumefungwa.hahaha
 
tabia ya kucheza show gem ghana wameianza lini?

Mara zote hii team huwa kikosi cha kazi

Wanatakiwa kukimbiza kuingia kwenye kumi na nane, kwanini hawaingii pale?
 
Hapa mambo magumu sana, hebu nijilalie zangu miye. Ushindi tukose na usingizi pia aww.
 
Shenzy type nalala tumeshagongwa.. Concentration imetumaliza mwanzoni, Kesho wakuu
 
Ghana wameishiwa mbinu na wamepoteza mechi!Wanajichezea tu bila malengo
 
Mungu ibariki Africa Mungu saidia Ghana ni timu pekee ya Africa ninayoitegemea kule Brasil wakituangusha na hawa ndio basi tena
 
Jamani hawa Ghana uafrica wao ni rangi tu, lakini mchezo wao unawatofautisha na uafrica.
 
Ayew anapewa cross murua na Kwado anakosa goli la wazi!kwa hali hii Kitoabu naondoa shilingi kwa Ghana pia!inakatisha tamaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom