Hili kundi bado ni ngumu sana mpaka sasa.
Yaani gumu mno ila uholanzi lazima atapita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili kundi bado ni ngumu sana mpaka sasa.
Hapana, siwapi nafasi ya ushindi japo mnatoa kaupinzani uchwara nina uhakika mtapokea kichapo cha 3-2.
Jidanganye....Hapana, siwapi nafasi ya ushindi japo mnatoa kaupinzani uchwara nina uhakika mtapokea kichapo cha 3-2.
View attachment 165724Ronaldo out world cup 2014
Kwanza refa hataruhusu rafu za kipuuzi
Timu zitajipanga na kuja na mbinu mbadala
Kipindi cha pili tunakuja kumaliza kazi kwa kuwafunga waholanzi,,,,,,,,,,2-1:
na australia nao watapewa maufundi ya ushindi vilevile.....Ngoja Patrick Kluvert akawape mufundi,wakirudi kipindi cha pili hao Australia watafungwa goal kama hawachezi vile
Ayaaaaa jenereta nayo imeloga wakati huohuo muhonga naye kashafanya mambo yake huku, jamani mtatupia updates mlio na huduma ya uhakika ya umeme, mimi off.
Ayaaaaa jenereta nayo imeloga wakati huohuo muhonga naye kashafanya mambo yake huku, jamani mtatupia updates mlio na huduma ya uhakika ya umeme, mimi off.
View attachment 165724Ronaldo out world cup 2014
Na asipoangalia atapewa red card.HT: AUSTRALIA 1-1 HOLLAND - And what a goal it was that levelled things up