Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha heti kijambazi.Hawa jamaa wanacheza kijambazi kweli! Yani wanajua kufunga tu.
Kumbe huu mpira wa spain hata Bantu lady ange ingia angefunga goli kupitia Taifa stars.
#teamshambalabibi
Kumbe yani.sijui kama spain watafunga leo..... Kaniambia nikalale namuuliza maswali sana
Spain wanacheza kama maji majiSpain wameishiwa mbinu sijui kama wanaweza kupata hata bao moja.
Unatoa Current Chelsea flop unaingiza future Chelsea flop
Duh! Mh. Upo?Dooo hii timu sijui ndio kufa kwenyewe huko rip espain..