World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Spain wameishiwa mbinu sijui kama wanaweza kupata hata bao moja.
 
Spain bado ni timu nzuri na muda bado mwingi wa kufunga moja na labda kurudisha. Tusiandikie mate, tusubiri 90
 
Spain wanapanda karibia wote, Counter ya Chile inaweza kuwaliza.
 
Spain wameshindwa kabisa kufika kwenye zone ya Chile.
 
Back
Top Bottom