everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
Duh!!!! wameleta aibu ya mwaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah tusubiri tuone maaana #teamafrica presha tupu
wananikumbusha enzi zile watani walivyombutua mwamuzi wakiongozwa na mwasika
Ahsante sana mkuu. Hii mechi niliwahi hadithiwa tu lakini leo nimeiona mwenyewe. Kwanza nimejifunza vitu vingi, lakini kimojawapo na chenye umuhumu zaidi ni "KUJITUMA" sio siri wachezaji wazamani walikua wakijituma sana tofauti na hawa wasasa. Naimani wao waliamini ktk kuitetea heshima ya nchi yao, tofauti na wasasa wanatetea maslah yao, kwanza matumbo yao araf kisha ndio heshima ya taifa lao.kipindi kile 1990 cameroon ilikuwa ngangali, Roger Miller, Kunde, Yekeke, Mfede, Omam Biyik, Andre Biyik, Makanaki, Nkono, Ebwele
England ilibidi wapewe penati ili wasonge mbele Gary Lineker alijiangusha.
https://www.youtube.com/watch?v=xVnIzAOraiA
Lol tumemtolea nje Cesc ndo tutamchukuwa Song? nilisikia mnamtaka kumreplace Fletcher. Dah kumbe hawa wala nyani na ngedere walifungwa 4 bila. Bora nililala mapema baada ya kufungwa goli la pili.
Leo mbuyu mwingine unaangushwa, utasikia ooh mwisho wa dunia wee subiri tu!. England wanafunga virago usiku huu kama wenzao Spain, wabakie wacheza mpira na sio maneno mengi.
Me, nilivyoona SONG kapewa kadi ya nyekundu tu, nikazima na luninga yenyewe.Lol tumemtolea nje Cesc ndo tutamchukuwa Song? nilisikia mnamtaka kumreplace Fletcher. Dah kumbe hawa wala nyani na ngedere walifungwa 4 bila. Bora nililala mapema baada ya kufungwa goli la pili.
Taifa stars hatuta shiriki michuano hii, naikitokea tukashiriki, basi mwaka huo huo tunabebe kombeAfrica ni kichwa cha mwendawazimu...yaani timu zote shiriki inayoleta matumaini ni ivory costs tuu..
huu ni ushenzi sanaa...ndoo mana mechi ya cameroon jana saikutaka hata kupoteza usingizi wangu...nyambafu zao...
Hivi taifa stars ndo tulikuwa tunang'ang'ania kushiriki si ingekuwa historia ya magoli kuwahi kutokea
Tunaishabikia kwa kuwaondoa mabingwa wa ulaya na dunia. Yatakayofuata ni Chile kivyao.
Kupenda kubaya eeh. Pole sana kwa kipigo cha leo!
Harafu hii gem itakua yakukata na mundu, kwani yeyote atakae poteza ndio mwisho wa safari yake. Binafs naimani Uruguay lazima ashinde hii gem. Sisemei ushabiki (sababu mm sizipendi tim za wazungu) lakini England hawako kitim tofauti na Uruguay. Leo Suarez anaanza huku Forlan akisubili.Leo mbuyu mwingine unaangushwa, utasikia ooh mwisho wa dunia wee subiri tu!. England wanafunga virago usiku huu kama wenzao Spain, wabakie wacheza mpira na sio maneno mengi.
Kwenye mpira hakuna bahati, bali kuna kujua. Ukizidiwa tu basi ujue ushakalia pala. Hispania jana kacheza mpira wake uleule wa kilasiku (wakibrza meni) hajui kua watu washaistukia staili ile. Wao nakaa na mpira weeh! Wenzao wakiukamata tu wanaenda kumuona Khadija kopa.Mkuu katafute Live statistics za mechi, nakwambia Chile iliizidi spain kwa kucheza rafu tu..otherwise Spain walikuwa juu sana isipokuwa Hawakuwa na bahati ya kufunga.
Pili hali ya hewa ya Brazil himewaathiri sana Sain kuliko Chile.
Mwisho naomba matokea ya mechi ya Cameroon
Mechi ya England & Uruguay, hata nikipewa ela ya msiba, napandia Uruguay anashinda. Tena hata sare hawapati England.
Ivory Coast HAIWEZI mfunga Colombia kesho maana beki yao manguvu sana lkn wana nafasi ya kusonga mbele wakimchapa Turkey mechi ya mwisho
Mkuu katafute Live statistics za mechi, nakwambia Chile iliizidi spain kwa kucheza rafu tu..otherwise Spain walikuwa juu sana isipokuwa Hawakuwa na bahati ya kufunga.
Pili hali ya hewa ya Brazil himewaathiri sana Sain kuliko Chile.
Mwisho naomba matokea ya mechi ya Cameroon
Turkey hawapo kaka kwenye 2014 WC hii. Nadhani ulikuwa una maana ya Greece.
Kumbe walipigwa 4,bora nililala kwa kweli.