World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

0495521.JPG
View attachment 166094Jamani kesho BD Yangu ndo nipo kwenye maandalizi karibuni sana wadau.....ila mishemishe zinaanza leo...Azur nipeni BD ya kukumbuka pegine hao muwasaidie walimu warudi tena.....

Mkuu hii picha ya 31/1/12
 
everlenk , wapi leo ndugu yangu.

Jana nilijikuta niko barabarani kwa safari ndefu nikapress mafuta lakini sikufanikiwa kufika mapema kwa mechi za mwanzo zote...

Niliumia sanasana.
 
Last edited by a moderator:
everlenk , wapi leo ndugu yangu.

Jana nilijikuta niko barabarani kwa safari ndefu nikapress mafuta lakini sikufanikiwa kufika mapema kwa mechi za mwanzo zote...

Niliumia sanasana.

Nilikumiss sana maana tungelia pamoja kwa mnyama tembo,hope ni #teamItaly siyo??
 
Last edited by a moderator:
Hii game tunatakiwa kushinda, unajua kwa nini? Kama tutatoa sare tutakuwa na point 4 sawa na costa rica. Urugua ana 3, game ya mwisho tunapiga nao. Kwao itakuwa fainal. Wakituchapa, costa rica wakapata hata sare tunatolewa.
 
Dk 18

0-0

Team zote zinacheza kwa taratibu, kila mmoja anajitahidi kuzuia asipigwe la mapema.

Kwa mwendo huu Costa watalia, maana wanataka kufuata mchezo wa Italy, kwa mapozi na polepole
 
Draw yyt ile hapa Italy will be out maana Suarez atawavunja vunja kabisa na bado sioni dalili yyt ya bao hapa!!
 
Back
Top Bottom