nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,408
- 2,196
Italy watashinda leo hii game
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 166094Jamani kesho BD Yangu ndo nipo kwenye maandalizi karibuni sana wadau.....ila mishemishe zinaanza leo...Azur nipeni BD ya kukumbuka pegine hao muwasaidie walimu warudi tena.....![]()
Ndiyo mkuu Tupo pamoja.
everlenk , wapi leo ndugu yangu.
Jana nilijikuta niko barabarani kwa safari ndefu nikapress mafuta lakini sikufanikiwa kufika mapema kwa mechi za mwanzo zote...
Niliumia sanasana.
wewe jana sijakuona? mimi bado niko barabarani so updates zenu wadau ni muhimu.
Leo nipo mkuu, kwanza tufahamishane, leo niko Italy wewe je?
humohumo kwa wazee wetu lkn wanayaweza kuliko vijana....