World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hahahahhahahaaa ni shidah, Kaniprint na kunitangazaaa kabisa. Hela ya tangazo nakutumia sasa hivi, mwenzako sikupitia kuandika ubaoni ndio najifunza Pazi sasa mbona unaniumbua hadharani? haaa
Najuwa Kama haukuenda shule za ubao mweusi na chaki au chini ya mti Ulianza typing zamani na kuchorachora na rangi kwenye A4.
 
Antoni na Enner Valancia wataipelaka Ecuador round ya 2!Kadi nyekundu ya Wilson Palacios itawa cost sana Hondorus maana yule ndiyo beki wao tegemezi
 
Hawa watakatisha fedha haramu wakiingia round ya pili nitakereka sana!Swiss warudi tu kwao kuendelea na michezo ya barafu
 
Viol, kwanini kocha huyu anakuacha hoi?
mpira unavyoendelea ye huko nje anavyohaingaika utadhani nesi wa zamu,umwone wakati goli timu yake imefunga goli atakavyoruka au wakinyimwa foul atakavyomind.
 
Kuna mzee mmoja alikuwa kocha wa Argentina huyo alikuwa mwisho kwa mizuka.kuna highlights fulani wanamuonyesha akijikwaa na kuanguka kwa kuhangaika uwanjani.nimemsahau jina.
nitatafuta hiyo clip nimwone aisee
 
Jamal Malinzi Rais wa TFF nakuhakikishia kama una mipango endelevu TZ inacheza kombe la dunia 2018 huko Urusi!Kwa nn sisi tushindwe utumbo Nigeria;Cameroon na Ghana waweze?
 
Last edited by a moderator:
Jamal Malinzi Rais wa TFF nakuhakikishia kama una mipango endelevu TZ inacheza kombe la dunia 2018 huko Urusi!Kwa nn sisi tushindwe utumbo Nigeria;Cameroon na Ghana waweze?
inatakiwa Taifa stars waombe sana mechi nyingi za kirafiki na timu kubwa kubwa.
 
Naona beef kati ya England na Scotland limechukuwa sura mpya baada ya England kumlaumu Mscotland kwa kushangilia goli la Suarez huko Brazil jana. Waenglish wamemchachamalia jamaa kama vile aliwalibia kijiko cha sukari. Soma chini

BBC News - Mystery Scot who cheered Uruguay goal against England named

[h=1]Mystery Scot who cheered Uruguay goal against England named[/h]


Continue reading the main story [h=2]Related Stories[/h]

A mystery Scot who caused a social media storm after celebrating Uruguay's winning goal against England has been named as Mark McConville from Glasgow.
The 41-year-old, who was dressed in the Scotland away top and a tartan hat and ginger wig, was seen on TV waving a Saltire and cheering with Uruguay fans.
Mr McConville has been doing charity work in Brazil, donating football strips to children.
He was criticised by some England fans after their team lost 2-1.
'Lookin' good' Mr McConville is said to have also travelled to South Africa to support Uruguay in the 2010 World Cup.
His brother Damien McConville took to Facebook to share a picture of him.
"The Tartan Army Fan partying with the Uruguayans is Mark McConville who brought lots of fitba strips for weans in the Amazon region," he said.
Another friend, Billy Mclaughlin said: "Mark McConville I just seen you on TV."
Carol Anne Barr said: "Lookin good cousin Mark!"
Some England fans were not amused by the sight of a Scot celebrating their team's defeat and posted their thoughts on social media.
England's 2-1 defeat means Roy Hodgson's men have lost their opening two games and have only a slim chance of qualifying for the knock-out stages of the World Cup.
_74982323_line976.jpg

Why do some Scots cheer against England?
_75692766_football_crowd_976v3.jpg

"The flags are missing from the cars. British newspapers aren't heralding imminent victory. In pubs from Penrith to Plymouth there's a distinct lack of gaiety, optimism and hope.
"I for one couldn't be happier.
"As a Scotsman resident in London, I've come to dread the wildly delusional over-confidence that grips my adopted homeland every time an international football tournament is staged...
 
Messi;Muller na Dzeko leo wanaondoka na mipira yao kiurahisi kabisa!Safari ya Ghana na Nigeria mwisho wao ni leo
 
Messi leo lazima aweke hat trick....
Nahisi anachekelea puani akiona cr7 mpaka sasa hajatupia..
 
Back
Top Bottom